ProZ.com translation contests »
Mox presents: "The comic life of a translator" » English to Swahili

Competition in this pair is now closed.

Discussion and feedback about the competition in this language pair may now be provided by visiting the "Discussion & feedback" page for this pair. Entries may also be individually discussed by clicking the "Discuss" link next to any listed entry.
 
 

Source text in English

Source text image

I began the revision and realized that it was a humongous pile of excrement produced by Gurgle!

Nonetheless, I delivered a perfect translation... but the customer had my sublime work edited by some illiterate jerk who ruined it!

And they published online my now-defective translation alongside my name!

Winning entries could not be determined in this language pair.

There were 10 entries submitted in this pair during the submission phase, 7 of which were selected by peers to advance to the finals round. Not enough votes were submitted by peers for a winning entry to be determined.

Competition in this pair is now closed.


Entries (10 total; 7 finalists) Expand all entries

Filter entries
Language variants:
Nilianza marudio na kugundua ya kwamba lilikuwa ni rundo la taka lililoandaliwa na Gurgle!

Hata hivyo, nilifanya tafsiri safi sana... Lakini mteja alisababisha kazi yangu ya kitaalamu kuhaririwa na mjinga fulani asiyejua kusoma na kuandika na ambaye hatimaye aliiharibu kabisa!

Na kisha wakaichapisha tafsiri hiyo mbovu mtandaoni huku wakiiambatishia jina langu!
Entry #29669 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Finalist
Voting points1st2nd3rd
266 x402 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry3.754.00 (14 ratings)3.50 (8 ratings)
Nilianza marudio na kugundua kuwa lilikua rundo la uchafu uliotengenezwa na Gurgle!

Walakini,niliitoa tafsiri kamili lakini, mteja wangu alimpa tafsiri hiyo mhariri ovyo aliyeihariri na kuiharibu!

Baada ya hapo, waliichapisha tafsiri hiyo yenye kasoro mtandaoni kando na jina langu!
Entry #29740 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Finalist
Voting points1st2nd3rd
61 x41 x20
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.642.71 (7 ratings)2.57 (7 ratings)
Nilianza marudio na nikagundua kwamba ilikua ni rundo kubwa la kinyesi lililosababishwa na mgugumo!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri kamilifu...lakini mteja wangu alipata kufanya kazi yangu murua ihaririwe na mjinga fulani aliyeiharibu!
Na wakachapisha mtandaoni tafsiri yangu sasa yenye kasoro kando ya jina langu!
Entry #28693 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Finalist
Voting points1st2nd3rd
51 x401 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.552.67 (6 ratings)2.43 (7 ratings)
Nilianza marekebisho nikagundua ilikuwa jaa la taka liliotungwa na Gurgle!

Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri sahihi... lakini mteja alisababisha kazi yangu nadhifu kuhaririwa na bwege asiye na elimu ambaye aliiharibu!

Vilevile, mtandaoni walichapisha kando ya jina langu tafsiri yangu ambayo sasa ilikuwa na taksiri!
Entry #29857 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Finalist
Voting points1st2nd3rd
51 x401 x1
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.722.86 (7 ratings)2.57 (7 ratings)
Nilianza kusahihisha na kugundua kuwa ilikuwa ni rundo la kinyesi kilichotolewa kwa Mgugumo!

Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri bora... lakini mteja akampa mshenzi fulani kuirekebisha na akaiharibu!

Kisha wakachapisha mtandaoni tafsri hii yenye makoso chungu nzima pamoja na jina langu!
Entry #29888 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Finalist
Voting points1st2nd3rd
201 x20
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.802.80 (5 ratings)2.80 (5 ratings)
Nilianza kufanya mazoezi na nikagundua kwamba lilikuwa rundo kubwa la kinyesi lilitolewa kwa mbubujiko.
Hata hivyo, nilituma tafsiri nzuri lakini mteja alimpa mtu asiye na ujuzi aihariri kazi yangu ambaye aliiharibu.
Waliichapisha mtandaoni tafsiri iliyokuwa na makosa huku ikiwa na jina langu.
Entry #29984 — Discuss 0 — Variant: Kenyan
Finalist
Voting points1st2nd3rd
201 x20
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.632.88 (8 ratings)2.38 (8 ratings)
Nilianza marudio kisha nikagundua kuwa ilikuwa rundo kubwa ya chafya iliyozalishwa na Gurgle!

Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri kamili… lakini mteja alipatiana kazi yangu ya chini kuhaririwa na asiyejua kusoma wala kuandika fulani ambaye aliiharibu!

Na walichapisha mkondoni tafsiri yangu ambayo sasa inakasoro kando ya jina yangu!
Entry #29704 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Finalist
Voting points1st2nd3rd
201 x20
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.732.56 (9 ratings)2.89 (9 ratings)


Non-finalist entries

The following entries were not selected by peers to advance to finals-round voting.

Nilianza kuisoma tena ndipo nikagundua kilikuwa kibunda cha taka kilicho tayarishwa na Gurgle.
Hata hivyo niliistafsiri ipasavyo … lakini mteja wangu aliichukua ile tafsiri akampelekea mhariri mjinga wa mwisho aliyeiharibu kabisha.
Kisha wakaichapisha ile waraka mbovu kwa mtandao na wakaweka jina langu.
Entry #29654 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.502.67 (6 ratings)2.33 (6 ratings)
Nilipoanza kukagua kazi iliyotafsiriwa na mtu mwingine, nilipigwa na butwaa nilipotambua kuwa ilikuwa na makosa chungu nzima.

Hata hivyo, nilijikakamua kurekebisha kila kosa na hatimaye nikawasilisha kazi safi. Kwa bahati mbaya, mteja alimpa limbukeni fulani nakala niliyosahihisha ili aihariri na badala yake, akakitia kitumbua changu mchanga!

Chozi lilinidondoka nilipobaini kuwa kazi hiyo iliyoborongwa ilichapishwa kwa jina langu!
Entry #28621 — Discuss 0 — Variant: Not specified
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.442.63 (8 ratings)2.25 (8 ratings)
Nilianza kuipitia upya na nikabaini kwamba ilikuwa ni zigo la kinyesi lililofyatuliwa na Gugo!

Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri murua... lakini mteja yule aliachia kazi yangu maridhawa ihaririwe na kubwa-jinga moja hivi lililoharibu kabisa!

Na wameichapisha mtandaoni tafsiri yangu ilivyovurugwa sanjari na jina langu!
Entry #29728 — Discuss 0 — Variant: Tanzanian
Rating typeOverallQualityAccuracy
Entry2.072.00 (7 ratings)2.14 (7 ratings)


ProZ.com translation contests

ProZ.com translation contests offer a fun way to take a break from your normal routine while testing and honing your skills with fellow translators.


ProZ.com Translation Contests. Patent pending.

Your current localization setting

Galician

Select a language

All of ProZ.com
  • All of ProZ.com
  • Procura de termos
  • Traballos
  • Foros
  • Multiple search