Nilianza kuipitia upya na nikabaini kwamba ilikuwa ni zigo la kinyesi lililofyatuliwa na Gugo!
Hata hivyo, niliwasilisha tafsiri murua... lakini mteja yule aliachia kazi yangu maridhawa ihaririwe na kubwa-jinga moja hivi lililoharibu kabisa!
Na wameichapisha mtandaoni tafsiri yangu ilivyovurugwa sanjari na jina langu!